Loading...

info@kilimanjaropazurivillas.com

+255679500600

Karibu Kilimanjaro Pazuri Villas

Kwa mahitaji yako ya sherehe mbalimbali ikiwemo Sherehe za Harusi, Ubatizo, Upigaji wa picha, Mahafali au sherehe mbali mbali za kifamilia unakaribishwa katika bustani kubwa na tulivu yenye mandhari ya kuvutia ndani ya mji wa Moshi, Mahali ni Kilimanjaro Pazuri Villas wasiliana nasi kwa kutupigia simu au meseji katika whatsapp kwa namba 0679500600 au bonyeza batani hapo chini kututumia barua pepe

Book Now

Subscribe Our Newsletter